Monday 28 November 2016

Nyumba inapangishwa ipo Uhindini Mbeya.

Nyumba inapangishwa Uhindini Mbeya. Ina vyumba viwili vya kulala, sebule kubwa, chumba cha chakula, na jiko kubwa. Kodi kwa mwezi dola 500.

Mazungumzo yapo.







Kiwanja kinauzwa kipo Ifisi Mbeya bei 4M.

Kiwanja hiki kipo Ifisi Mbeya ni eneo zuri linalofikika kwa urahisi, wasiliana nasi kwa kucomment kama unahitaji.

Nyumba inauzwa maeneo ya Ikulu Mbeya.




Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, Sebule na chumba cha chakula. Inauzwa Tshs. 90M. Ipo maeneo ya Ikulu, Mbeya.

Mazungumzo yapo. 

Saturday 26 November 2016

Utambulisho wa Kampuni ya Brilliant Real Estate Mbeya


Brilliant Real Estate Mbeya ni Wakala/Dalali wa mali/bidhaa/huduma mbalimbali. Pata Nyumba, Vyumba, Viwanja, Mashamba, Gari, Pikipiki, Baiskeli N.K vya kukodi au kununua kupitia sisi popote ulipo/unapohitaji ndani ya jiji la Mbeya.

1. Uzunguni
2. Uhindini
3. Sokomatola
4. Ghana
5. Majengo
6. Mbalizi
7. Iwambi
8. Tazara
9. Itunga
10. Kalobe