Brilliant Real Estate Mbeya ni Wakala/Dalali wa mali/bidhaa/huduma mbalimbali. Pata Nyumba, Vyumba, Viwanja, Mashamba, Gari, Pikipiki, Baiskeli N.K vya kukodi au kununua kupitia sisi popote ulipo/unapohitaji ndani ya jiji la Mbeya.
Utapata unachotaka kwa wakati husika, sisi ni wazoefu wa kazi ya udalali hivyo usiwe na hofu, tuma meseji au piga simu wakati wowote.
Monday, 28 November 2016
Nyumba inauzwa maeneo ya Ikulu Mbeya.
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, Sebule na chumba cha chakula. Inauzwa Tshs. 90M. Ipo maeneo ya Ikulu, Mbeya.
No comments:
Post a Comment